Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa Habari Mbobevu Ndugu Tido Mhando kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Mwandishi wa Habari Mahiri tarehe 05 Mei, 2025.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo kwa Mwandishi wa Habari Mbobevu Mariam Hamdani kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam Mwandishi wa Habari Mahiri tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa Habari za matumizi ya nishati safi ya kupikia Ndugu Julius Mwita Maricha kutoka Gazeti la The Citizen kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa Tuzo pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa Mwandishi wa Habari Mahiri Ndugu Alfred Lasteck Mushi kutoka BBC Africa kwenye hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 zilizofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, Wadau wa habari pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
 
Viongozi, wadau wa Habari pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.