KutokaNgara Mkuu wa vipindi Clouds TV ambaye pia ni Muasisi na Mratibu wa programu ya #Kurasa365ZaMama @dottobahemu_ leo amewasili katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ngara na kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Ngara.