Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha

MTIA nia wa ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Elius Lukumay hatimaye amerejesha fomu ya ubunge katika ofisi za chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Arumeru baada ya kukamilisha kujaza .

Lukumay pia ni Mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA).