Mfanyabiashara wa madini Comred Hussein Gonga arudisha fomu ya kuwania ubunge Arusha Mjini
JamhuriComments Off on Mfanyabiashara wa madini Comred Hussein Gonga arudisha fomu ya kuwania ubunge Arusha Mjini
Happy Lazaro, Arusha .
Comred Hussein Gonga leo amerudisha rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitafuta ridhaa ya wajumbe wa chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.