Rais Samia akiwa na wageni mbalimbali wakati uzinduzi wa Dira 2050
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwa na wageni mbalimbali wakati uzinduzi wa Dira 2050
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.