Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimemteua Salum Mwalimu Jumaa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Uamuzi hupo umetangazwa muda mfupi uliopita kwenye Mkutano Mkuu wa Chaumma unaoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
