Angalia Dk Samia akicheza mziki na wanachama Mbeya
JamhuriComments Off on Angalia Dk Samia akicheza mziki na wanachama Mbeya
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mziki na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa Chama hicho katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika viwanja vya airport Jijini Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.