Author: Jamhuri
Doyo : NLD itaondoa kero ya foleni Dar, kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki
Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, ameendelea na kampeni zake kwa kasi jijini Dar es Salaam kupitia mtindo wa kipekee wa “Mobile Kampeni”, mfumo unaomuwezesha kufanya mikutano mingi kwa siku moja katika maeneo mbalimbali. Doyo amefanya mikutano…
Jingu awahimiza viongozi wanawake chipukizi kuleta mabadiliko halisi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewahimiza viongozi wanawake chipukizi barani Afrika kuchukua hatua thabiti na kuleta mabadiliko halisi katika safari zao za uongozi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo…
Wiki ya Huduma kwa Wateja 2025; NMB yaahidi kuongeza ubunifu na masuluhisho shirikishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Salaam Benki ya NMB ilizindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, huku ikiahidi kuboresha zaidi huduma zake na kusisitiza dhamira yake ya kuendelea kuwa kinara wa huduma bunifu, jumuishi, na zinazokidhi mahitaji halisi ya…
Balozi Asha Rose Migiro awasili Mwanza
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Asha Rose Migiro awasili leo Oktoba 6/2025 mkoani Mwanza kwa ajili ya mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu…
Polisi yaanza uchuguzi kutekwa kwa Polepole
Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kwa Msemaji wake DCP David Misime limesisitiza kuwa bado linaendelea kumsubiri Humphrey Polepole ili aripoti katika Ofisi ya Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai ili atoe maelezo kuhusu tuhuma mbalimbali alizozitoa kupitia Mitandao…