Author: Jamhuri
Mapokezi ya Othman Masoud Unguja na Pemba ishara ya Rais mpya ajae
Katika siku za hivi karibuni, Zanzibar imeshuhudia hamasa kubwa ya wananchi katika mikutano ya hadhara inayoongozwa na Othman Masoud. Kutoka mitaa ya Mjini Unguja hadi vijiji vya mbali kisiwani Pemba, maelfu ya wananchi wamejitokeza kwa wingi, wakijazana viwanjani kusikiliza ujumbe…
Karatu imeridhia Dk Samia wamempokea kwa kuweka historia mpya
Maelfu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha wamempokea kwa kishindo cha nguvu Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 leo tarehe 3 Oktoba 2025…
Fredrick Lowassa: Wana Arusha mchagueni Dk Samia anajua mahitaji yenu na ana uwezo wa kuyatatua
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa, amesema kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu wananchi wanapaswa kuchagua mgombea anayejua mahitaji yao na mwenye uwezo wa kuyatatua. Ameyasema hayo Oktoba 3, 2025, katika muendelezo wa kampeni za Mgombea Urais wa…
Karatu waandika historia mapokezi kwa Dk Samia
Wenye kalamu, makaratasi huu ndio wakati wenu kwakuwa wapiga picha wao washamaliza kazi yao, yaani kaeni tayari sasa kuandika historia mpya kutoka hapa wilayani Karatu mkoani Arusha ambapo nyomi hili la wananchi hawa limejitokeza wakiwa na shangwe kwelikweli huku wakisema…
Dk Migiro awasili Karatu, atoa salama za ujio wa Dk Samia
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asharose Migiro, amewasili na kupokelewa na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika viwanja vya mnadani wilayani Karatu mkoani Arusha leo tarehe 3 Oktoba 2025 wakiwa tayari kumsubili na kumlaki Mgombea Urais wa…
JKCI, HTAF waanzisha shindano la insha shuleni kuhusu magonjwa ya moyo
Na Mwandishi Wetu TAASISI ya Moyo ya Jakata Kikwete (JKCI), kwa kushirikiana na Heart Team Africa (HTAF) wameanzisha shindano la insha shuleni ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha watanzania wanatambua hatari ya magonjwa ya moyo tangu wakiwa wadogo. Shindano hilo lilizinduliwa…





