JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Naibu Katibu Mkuu CCM aanza ziara Shinyanga

Naibu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kuwasili mkoani hapo kwa ziara ya chama ya siku saba leo, tarehe 6 Septemba 2024….

Waziri Mkuu atoa maelekezo uendeshaji mradi wa SGR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa na miundombinu inaimarishwa ili mradi huo uweze kudumu kwa muda mrefu. Amesema katika mwaka wa fedha 2024/2025,…

Mradi mkubwa wa maji ziwa Victoria kuinusuru Biharamulo

Na Daniel Limbe,JamhuriMedia, Biharamulo Katika kukabiliana na adha kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,serikali imetenga zaidi ya bilioni 77 kwaajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa usambazaji maji kutoka ziwa Viktoria….

Rais Samia ampandisha cheo afisa wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024.  IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Shindano la kriket kufuzu Kombe la Dunia kufanyika Septemba 20

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia,Dar es Salaam Michuano ya kimataifa ya mchezo wa kricket katika kampeni ya kufuzu kombe la dunia kwa upande wa mchezo wa kricket yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini kuanzia Septemba 20, mwaka huu. Mashindano hayo yatafanyika nchini…