Author: Jamhuri
Watuhumiwa kesi ya mauaji mtoto albino waangua kilio mahakamani
Na Isri Mohamed Watuhumiwa tisa wa mauaji ya mtoto mwenye Ualbino, Asimwe Novart wamefikishwa tena katika mahakama ya hakimu mkazi Bukoba leo Julai 12, 2024 kwa ajili ya kutajwa mashtaka yao ambapo baadhi yao wameonekana wakimwaga machozi. “Serikali bado inaendelea…
Matumizi ya umeme jua kwa wakulima yatawapunguzia gharama, wengi hawafahamu
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo,…
Shehe asimamishwa kazi kwa kufungisha ndoa feki
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BARAZA la Mashehe Mkoani Tabora limemsimamisha kazi Shehe wa Kata ya Kidatu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, Bakari Sikonge, kwa kukiuka maadili ya dini kwa mujibu wa katiba inayoongoza Baraza hilo. Akitoa maamuzi hayo jana…
Makamba aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, ulinzi na usalama SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 26 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa Jumuiya…
UNEP kuleta neema Tanzania
Tanzania imeahidiwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) kuungwa mkono katika vipaumbele vya mazingira ikiwemo agenda ya nishati safi ya kupikia. Hayo yamejiri wakati wa mazungumzo kati ya Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais…
Urusi: Kupeleka silaha Ujerumani kutachochea vita Baridi
Urusi imekosoa mpango wa Marekani wa kupeleka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani ikisema hatua hiyo inawarejesha kwenye zama za Vita Baridi. Msemaji wa Ikulu ya Kremlin, Dmitry Peskov ameishutumu Ujerumani, Marekani, Ufaransa na Uingereza kwa kujiingiiza moja kwa moja…





