JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NIT yatoa mafunzo kwa wahudumu wa mabasi ya masafa marefu na Miji

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amefungua mafunzo ya usafirishaji kwa wahudumu wa mabasi ya masafa marefu na Mijini kanda ya Kati yaliyoandaliwa na chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT)kwa lengo la kuboresha huduma hiyo kuendana…

Daraja mto Ruaha Mkuu Morogoro kuchagiza maendeleo mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Imeelezwa kuwa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la mto Ruaha Mkuu lililopo kwenye barabara ya Kidatu – Ifakara lenye urefu wa mita 133 mkoani Morogoro, utakapokamilika utakuwa na manufaa makubwa ikiwemo kuchagiza maendeleo, kukuza uchumi…

ACT – Wazalendo yadhamiria kufuatilia miswada waliyopeleka bungeni iwe sheria

Na Magrethy Katengu, JamhuriaMedia, Dar es Salaam Chama cha Act -Wazalendo kimesema kitahakikisha kinafuatilia miswada waliyopeleka bungeni hadi ipitishwe kuwa sheria ikiwemo kudai tume huru ya uchaguzi aliyepoteza kadi ya kura au kufutika alipie fedha apewe nyingine, Tume ya Uchaguzi…

Waziri wa Ulinzi Marekani akimbizwa ICU

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin amelezwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi mjini Washington kwa matibabu huku ikielezwa kuwa anasumbuliwa na tatizo la kibofu”, maofisa wa Kituo cha Matibabu cha Kijeshi cha Walter Reed walisema. Austin, 70, baadaye alihamishia…

Sebastian Haller: Shujaa wa Ivory Coast, Rafiki wa Februari

Na Isri Mohamed Baada ya Ivory Coast Kutwaa Ubingwa wa AFCON 2023 jina la Mchezaji Sébastien Haller Aliyefunga Bao la Ushindi Lililowapa Ubingwa Limetajwa sana kama shujaa wa Ivory Coast na rekodi yake na mwezi Februari.. Haller anaimbwa kama shujaa…