JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwanamuziki Snura aachana na muziki, amrudia Mungu

Mwanamuziki Snura Mushi ametangaza kuacha muziki huku akikataza nyimbo zake zisichezwe kwenye vyombo vya habari na sehemu nyingine, Hatua hiyo imekuja baada msanii huyo kudai kuwa kwa sasa ameamya kumrudia Mungu wake. “Watanzania na nje ya nchi mimi Snura leo…

Zaidi ya bilioni 23 kutumika kusambaza umeme Kilimanjaro vijijini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 23.7 ili kuhakikisha miradi yote ya kusambaza umeme vijijini Mkoani Kilimanjaro inakamilika na kuwapatia wananchi maendeleo ya kiuchumi na kijamii Mkurugenzi wa Umeme…

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma afukuzwa ANC

Vyombo kadhaa vya habari nchini Afrika kusini vimeripoti kwamba,kamati ya nidhamu ya chama tawala cha African National Congress ANC imepitisha maamuzi ya kumtimua chamani aliyekuwa rais wa taifa hilo Jacob Zuma. Inaelezwa kwamba hatua hiyo imetokana na Zuma kukiongoza chama…

Ukraine yaendelea kuyalenga maeneo ya Urusi

Ukraine imerusha zaidi ya droni 24 kuulenga mkoa wa Urusi wa Kursk ikiwa ni sehemu ya kampeni yake ya kijeshi iliyoanza siku ya Jumamosi usiku ambayo imefanikiwa kuharibu bohari ya mafuta. Hayo yamesemwa na kaimu gavana wa mkoa huo unaopakana…

Utekelezaji mradi ujenzi wa miundombinu ya barabara Njombe wafikia asilimia 88.3 – Injinia Ruth

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Bajeti ya Matengenezo na Maendeleo ya Barabara katika mkoa wa Njombe kwa Mwaka wa Fedha 2023-24, ni Shilingi Bilioni 11.583, ambapo katika fedha hizo Miradi ya Maendeleo ni Shilingi Bilioni 7.979, Miradi katika Ushoroba wa…