JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waadhimisha Siku ya Nelson Mandela Dar

Na Lookman Miraji,JamhuriMedia, Dar es Salaam Kila Julai 18 ya kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela ikiwa ni kuenzi ya aliyoyafanya katika jamii ya Waafrika Kusini, Waafrika na Dunia kwa ujumla. Kupitia kikao cha Jumuiya ya…

Trump aridhia kuwa mgombea urais wa Republican

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amekubali rasmi uteuzi wa kuwania urais kwa tiketi ya Chama cha Republican katika mkutano mkuu uliotawaliwa zaidi na jaribio la mauaji dhidi yake. Katika hotuba yake ya dakika 90, Trump ametoa ahadi kemkem…

Pinda atoa zawadi kwa walimu Kavuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametoa zawadi za majiko ya gesi kwa walimu wa shule za…

Tathimini ujenzi wa barabara kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya ‘Ecoroads’ yaleta matumaini

Na. Catherine Sungura,CHAMWINO Teknolojia ya kisasa ya ujenzi wa barabara kwa kuboresha udongo kabla ya kuweka lami juu  ijulikanayo kama ‘Ecoroads’ imeonesha matumaini katika miezi sita ya majaribio.  Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia  miundombinu  Mhandisi…

Global Education Link yadahili wanafunzi maonyesho ya vyuo vikuu Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu nje ya Nchi Global Education Link (GEL), imeanza kudahili wanafunzi papo hapo kwenye maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisala visiwani Zanzibar. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa GEL, Abdulimalick Mollel,…

Dulla Makabila, Linex wapamba tamasha la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na Singeli,  Sande Mangu almaarufu Linex na Abdallah Ahmed maarufu Dulla Makabila leo Julai 18,2024  wameingiza shangwe kwa wakazi wa Kigoma kwa kutoa burudani kali katika Tamasha la uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu…