Author: Jamhuri
Wawili mbaroni kwa kutengeneza na kumiliki silaha Shinyanga
Na Suzy Butondo,JamhuriMedia,Shinyanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata silaha tano pamoja na watuhumiwa wawili kwa kosa la kutengeneza na kumiliki silaha kinyume na sheria huku likikamata vitu mbalimbali ukiwemo mtambo wa kutengenezea siraha uitwao Vice,vikiwemo bhangi, vitanda, magodoro…
Kikwete: Mapambano ya malaria yako karibu na moyo wangu
Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete amesema suala la kupambana na malaria ni jambo ambalo liko karibu na moyo wake. Aidha amempongeza na kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa busara wa kuanzisha Baraza…
Serikali yatenga bilioni 11 kuendeleza Hospitali ya Rufaa Mara
Na WAF – Musoma, Mara Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha fedha shilingi Bilioni 11 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendeleza ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere – Kwangwa, iliyopo mkoani Mara. Waziri…
Mwijuma apongeza Shirikisho la IFPI kuchagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ameupongeza uongozi wa Shirikisho la Kimataifa la Watayarishaji wa Muziki Duniani (IFPI) kwa kuichagua Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wao mkuu uliofanyika leo Jijini…
TMDA Kanda ya Magharibi yakamata dawa za mil.2 za kuongeza nguvu za kiume
Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba kanda ya magharibi TDMA imekamata jumala ya daza za milioni 2 zikiwemo ‘vega’ na sigara dawa amazo ni hatari kwa matumizi. Meneja wa TFDA Kanda hiyo Dk.Christopher Migoha akitoa…