Author: Jamhuri
Serikali yabaini uanzishwaji wa nyumba za ibada kiholela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani, Hammad Masauni amesema kuwa wamebaini kuwepo kwa uanzishwaji holela na utitiri wa nyumba za ibada katika maeneo mbalimbali nchini. Ameyasema hayo yame leo Machi 26, 2024 wakati wa…
Waziri Jafo: Hoja 22 kati ya 25 za Muungano zapatiwa ufumbuzi
Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa katika kipindi cha katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utatuzi wa hoja za…
Wananchi wasisitiza kutumia kwa usahihi miundombinu ya majitaka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amewataka wananchi kuzingatia matumizi sahihi ya utumiaji wa mfumo wa mtandao wa majitaka ili kuondokana na adha ya kuziba mara…
Waziri Riziki : Wanawake Tanzania wamewezeshwa manunuzi ya umma kielektroniki
Na Salma Lusangi, JakhuriMexia, New York Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewawezesha wanawake kupata fursa za manunuzi ya umma kwa kutoa mafunzo ya kiufundi ili…
Tanzania yatekeleza ahadi ya Beijing
Na Salma Lusangi, JamhuriMedia, New York Licha ya changamoto za kiuchumi Duniani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeweza kutekeleza hatua mbali mbali zilizolengwa ili kupunguza athari kwa wanawake, na kuimarisha dhamira ya Utekelezaji wa Jukwaa la Beijing na…
Majaliwa kuongoza mapokezi ndege mpya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza mapokezi ya ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737-Max9 yenye uwezo wa kubeba abiria 181. Ndege hiyo itapokewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam…