JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, Wizara inatekeleza kwa vitendo – Dk Kazungu

📌Apokea Magari Mawili kutoka Umoja wa Ulaya kwa ajili ya kuanza kampeni ya kutoa elimu ya uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia nchi nzima 📌 Amshukuru Dkt Samia kwa kuwa kinara wa nishati safi na kuibeba ajenda hiyo 📌 Umoja…

SADC : Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuunganisha Afrika kujenga uchumi

📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati 📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya Nishati na Maji wa Nchi za Jumuiya ya…

Singida yatumia zaidi ya Trilioni 1.7 kufungua fursa za maendeleo

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Singida umeweka historia ya maendeleo kwa kutumia zaidi ya shilingi trilioni 1.72 katika kipindi cha miaka mitano (2020/21 hadi 2024/25), fedha zilizotolewa na Serikali Kuu, mapato ya ndani pamoja na michango kutoka kwa wadau wa…

Dk Jingu aitaka jamii kuwatunza wazee ikiwemo kupinga vitendo vya ukatili dhidi yao

📌 AWASHAURI VIJANA KUJIANDAA NA UZEE‎‎Na WMJJWM – Mwanza‎‎Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu ameitaka jamii kushiriki kikamilifu katika kuwatunza wazee wao, kuwaheshima, kuwaangalia na kulinda dhidi ya vitendo vya…

Askofu Dk Shoo akemea upotoshaji mchango wa Rais Samia kwa taasisi za kidini

Mwenyekiti wa CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini. Niendelee kumsihi Rais…

MNEC Ndele, ajigamba kwa kujenga Ofisi za CCM

NAla Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Mjumbe wa Halmashauri ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya MNEC Ndele Mwaselele, amekanusha Uvumi kwamba kuna mtia nia wa ubunge anambeba, na badala yake amejigamba kuwa yeye anatatua Kero za Wananchi na Kujenga…