Author: Jamhuri
Tume ya Mipango shirikisheni wananchi uandaaji Dira ya Maendeleo ya Taifa – Dk. Biteko
📌 Ataka miradi inayofadhiliwa na Wadau wa Maendeleo pia ifuatiliwe na kufanyiwa tathmini 📌Awaasa Maafisa Mipango kutembea kifua mbele, wao ni wadau muhimu Serikalini 📌Aagiza watoe elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutoa maoni kwa ajili ya maendeleo ya nchi…
Maambukizi ya malaria yapungua mjini Tabora, vijijini bado
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Maambukizi ya malaria yametajwa kupungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya mjini huku hali ikiwa bado mbaya vijijini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kitengo cha kudhibiti Malaria Manispaa ya…
Kongwa kuwa kituo cha urithi wa taifa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa imesema ina mpango wa kuboresha miundombinu katika maeneo ya kihistoria wilayani hapo ili kuwa moja ya sehemu zitakazovutia watalii. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki na Mkuu…
Ndalichako aitaka mifuko ya jamii kutatua kero ya ucheleweshaji mafao kwa wastaafu
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira, Vijana na wenye Ulemavu,Profesa Joyce Ndalichako, ameyaagiza mashirika ya Hifadhi za Jamii hapa nchini kuchukuwa hatua za haraka ili kutatua kero zinazowakabili wastaafu ikiwemo kucheleweshewa mafao yao…
Wavamizi maeneo ya malisho Kiteto wapewa siku saba kupisha maeneo hayo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Kiteto SERIKALI imetoa siku saba kwa wavamizi wanaofanya shuguli za kilimo kwenye maeneo ya kongani za malisho ya mifugo zilizotegwa kupitia mpango wa matumizi bora ya ardhi za vijiji wilayani Kiteto mkoani Manyara wawe wameshaondoka bila kujali kama…
Rais Samia aboresha huduma za afya Kasulu Vijijini
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Kigoma SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan imepongezwa kwa kuboresha huduma za afya kwa wakazi wa vijijini Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. Wakiongea na JAMHURI DIGITAL kwa nyakati tofauti baadhi ya…