Author: Jamhuri
Trump: Iran itakuwa ‘chungu sana’ ikiwa hakuna makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani na Iran lazima zifikie makubaliano na anaamini kuwa makubaliano hayo yanawezekana ndani ya mwezi ujao. Rais wa Marekani alisema iwapo hakutakuwa na makubaliano, ataingia katika awamu ya pili, jambo ambalo litakuwa chungu sana…
Wanahabari watakiwa kuandika habari za amani na kujali usalama wao
Na Mwandishi wetu, JamhiriMedia,Arusha Taasisi ya waandishi wa habari ya kusaidia jamii za pembezoni (MAIPAC) imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari nchini jinsi ya kuandika habari zinazochochea amani na kulinda usalama wao wakati wa migogoro. Mafunzo hayo yameshirikisha waandishi wa…
Waziri Dk Gwajima azindua mkakati wa kitaifa wa kisekta wa kutokomeza ukeketaji
Na Saidi Saidi WMJJWM – Arusha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mkakati wa Kitaifa wa Kisekta wa Kutokomeza Ukeketaji nchini (2025/2026–2029/2030) katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga…
Serikali yatoa vitabu kwa shule za mkondo wa amali bure
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba amesema, Serikali imetoa vitabu vya masomo ya Elimu ya Amali bure kwa shule zote za umma na binafsi ili kuongeza hamasa katika ufundishaji na ujifunzaji wa masomo hayo yatayosaidia kukabiliana…
Dk Mwigulu aagiza mikakati madhubuti kulinda viwanda vya ndani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka Taasisi za udhibiti za Serikali kuweka kipaumbele katika kulinda viwanda vya ndani na biashara badala ya kuwa kikwazo katika kufikia mafanikio. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amesema kuwa haitakuwa rahisi kulinda…
PPRA : Zaidi ya trilioni 5 zimetengwa kwa makundi maalum kupitia zabuni za Serikali
Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imewahamasisha Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki fursa za zabuni za serikali kupitia mfumo wa NeST, ikisisitiza kuwa zaidi ya shilingi trilioni tano zimetengwa mahsusi kwa ajili ya makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake,…





