Author: Jamhuri
Kada wa CHADEMA amuomba msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi Baraza Kuu la chama
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika Januari 22, 2025. Akizungumza na…
Kapinga : Kazi ya kupeleka umeme kwenye migodi midogo inaendelea
📌 Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa 📌 Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8. 📌 Kituo cha umeme Uhuru wilayani Urambo chakamilika Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia…