JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais wa Ujerumani kukutana na familia za mashujaa wa vita vya Majimaji

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier Novemba 1, 2023 amewasili Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani hapo. Rais Dkt. Steinmeier amepokelewa na Waziri wa…

Watano wafariki, wengine nane waokolewa katika ajali ya boti Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Mafia Watu watano wamefariki dunia huku wengine wawili wakiwa hawajulikani walipo baada ya boti walilokuwa wakisafiria kuzama, katika kingo za mto Rufiji,ikitokea wilaya ya Mafia Mkoani Pwani. Aidha watu wanane katika ajali hiyo wameokolewa wakiwa hai….

Kamati ya Fedha na Utawala yaridhishwa na miradi ya maendeleo Kibaha TC

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Leo Jumatano Novemba 1,2023 Kamati ya Fedha na Utawala imefanya ziara kwenye kata tatu kuona utekelezaji wa Miradi mikubwa ya elimu na afya. Miradi iliyotembelewa ni ijenzi wa shule ya msingi mpya kwenye Kata ya…

Amuua baba yake kwa kumkata na shoka, chanzo ni maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia kijana aitwaye Paschal Msindo (21), mkazi wa Kijiji cha Kalepula Wilaya ya Kalambo kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumkata shoka shingoni. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Utafiti wa GST waongeza kasi ya ukataji leseni Mtwara

Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Serikali kupitia Taasisi ya Jilolojia na Utafiti wa Madini (GST) imefanya utafiti wa awali na kuainisha madini yanayopatikana katika Mkoa wa Mtwara hatua iliyosaidia wananchi kukata leseni ya utafiti na kujihusisha uchimbaji wa dhahabu ambao…