Author: Jamhuri
TMA, wadau wajadili njia za kufikisha taarifa za hali ya hewa kwa wakati kwa wakulima
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa kushirikiana na Norges Vel na Mpango wa Chakula Duniani (WFP), imekutana na wadau mbalimbali kujadiliana namna ya kufikisha taarifa za hali ya hewa kwa wakati kwa wakulima. “TMA itaendelea kushirikiana na wadau…
TAMISA yashiriki Kongamano la madini Afrika Kusini
Na Mwandishi Wetu, Indaba, Afrika Kusini Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kinashiriki katika Kongamano la Kimataifa la Madini ( Mining Indaba 2026) linaloendelea jijini Cape Town, Afrika Kusini, kwa lengo la kuendeleza na kuimarisha sekta…
Nyumba 280 zaezuliwa na upepo ulioambatana na mvua Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema takriban nyumba 280 zimeezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha mwanzoni mwa mwezi huu wilayani Rufiji mkoani humo. Kunenge aliyasema hayo alipokuwa akizungumza wilayani humo,…
Rais Samia aondoka nchini kushiriki mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo tarehe 12 Februari 2026 kuelekea Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi…
Msichana wa miaka 18 aua watu sita akiwemo mama yake kwa shambulio Canada
Polisi nchini Canada imethibitisha kuwa msichana mwenye umri wa miaka 18 ndiye aliyefanya shambulio la risasi na kuua watu sita katika shule ya Tumbler Ridge, baada ya kumuua mamake mzazi na kaka yake wa kambo. Mshambuliaji huyo alijiua baadaye na…





