Author: Jamhuri
REA yaja na mpango kabambe wa kuwezesha ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini
📌Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya asilimka 5-7 kutolewa 📌Marejesho ni ndani ya miaka 7 📌Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa gharama nafuu 📌Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza…
Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini – Dk Biteko
📌 Asisitiza milango ya Rais Samia ipo wazi kwa ajili ya mazungumzo kwa mustakabali wa Taifa 📌 Asema Serikali inatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na Taasisi za dini 📌 Serikali kuendelea kushirikiana na Taasisi za dini kuchochea maendeleo 📌…
Uwekezaji unavyoibadilisha Katavi, kutoka rasilimali hadi huduma kwa wananchi
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia Dodoma Biashara ya kaboni (hewa ukaa) imekuwa chanzo kipya chenye tija kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Mkoa wa Katavi, hususan Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, kwa kufungua fursa mpya na kuchochea ustawi wa wananchi…
CUF: Hatutosusia Uchaguzi Mkuu, badala yake tutashiriki kikamilifu
Na Mwandishi Wetu, Mtwara Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakitasusia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 badala yake kitashiriki kikamilifu zoezi hilo. Hayo yalibainishwa wakati wa mkutano wa hadhara wa kitaifa wa chama hicho Jimbo la Mtwara Mjini uliyofanyika Manispaa…
P Diddy aendelea kusota rumande hadi Oktoba 3
MSANII mashuhuri wa muziki wa hip-hop, Sean Diddy Combs maarufu kama P Diddy, ameendelea kusalia rumande baada ya Jaji Arun Subramanian wa Mahakama ya Shirikisho kumkatalia dhamana, licha ya kupunguziwa baadhi ya mashtaka. Combs alikutwa na hatia ya kujihusisha na…
Israel, Hamas watofautiana usitishaji wa vita Gaza
Israel na kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza zimechukua msimamo tofauti leo kuhusiana na pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani la usitishaji mapigano kwa muda wa siku 60. Saa kadhaa baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza…