JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtaturu atoa faraja Mang’onyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida MBUNGE wa Singida Mashariki miraji Mtaturu ameshiriki mahafali ya Shule ya Sekondari ya Mang’onyi Shanta na kugawa vifaa vya TEHAMA ikiwemo Printa na Kompyuta vyenye thamani ya Sh Milioni 13 ikiwa ni jitihada zake za…

Serikali kuwajengea uwezo wakufunzi wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini yake ili waweze kuzalisha wataalamu wenye weledi na sifa stahiki katika kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu…

Serikali yatoa siku 14 kukamatwa na viongozi ambao ni vinara wa utapeli

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SERIKALI mkoani Pwani, imetoa wiki mbili kukamatwa viongozi 24 ambao ni vinara wa utapeli ikiwemo mabalozi, wenyeviti wa Mitaa, watendaji walioshirikiana kuuza maeneo katika shamba namba 34 ambalo ni mali ya Wizara ya Mifugo na…

Mwenyekiti Wazazi CCM Morogoro ataka miradi ya kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya kiuchumi ya Jumuiya. Dk. Rose amesema kila Wilaya ihakikishe inakuwa na nyumba za…

RC Mndeme: Marufuku kuchati mnapowahudumia wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya baadhi ya maofisa watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuchati na simu wakati wakiwahudumia wananchi katika ofisi zao. Mndeme ametoa tamko hilo juzi wakati…

MSD yafanya maboresho makubwa sekta ya afya Singida, yatoa vifaa tiba, dawa

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, SingidaBOHARI ya Dawa (MSD) imetoa vifaa tiba na dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 532.4 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Hospitali ya Wilaya ya Singida, Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Hosptali…