JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ukraine na Marekani hatimaye kusaini mkataba wa madini

Timu ya wapatanishi wa Ukraine itasafiri kwenda Marekani wiki hii, wakitarajia kusaini mkataba wa madini ambao umekwama kwa wiki kadhaa. Washington pia inataka haki za kuchimba madini nchini Ukraine kwa kubadilishana na misaada inayoipa nchi hiyo. Mkataba huo ulitarajiwa kutiwa…

Trump atangaza mazungumzo ya nyuklia na Iran

Rais Donald Trump amesema Marekani itaanzisha mazungumzo, ya ngazi ya juu na Iran kuhusu mpango wake wa nyuklia siku ya Jumamosi. Alitoa tangazo hilo la kushangaza alipokutana na Netanyahu katika Ikulu ya White House. Rais huyo wa Marekani alisema ana…

Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 15 yenye thamani ya bil. 2.8 Mafia -Mangosongo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhutiMedia, Mafia Mwenge wa Uhuru umetembelea ,kukagua na kuweka jiwe la msingi miradi 15 yenye thamani ya zaidi ya sh bilioni 2.8 . Akipokea mwenge wa Uhuru Aprili 7, 2025, kwa mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali…

Michuano ya Afcon na Chan itaendeleza michezo na utalii nchini – Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi wa kuridhia Mashindano ya AFCON na CHAN kufanyika nchini utasaidia kwa kiasi kikubwa kuendeleza…

Balozi Nchimbi amaliza ziara yake Ruvuma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea kuwa chama cha wanachama, kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wote na kuwa mtetezi wa wanyonge. Balozi…