Author: Jamhuri
Tathimini ujenzi wa barabara kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya ‘Ecoroads’ yaleta matumaini
Na. Catherine Sungura,CHAMWINO Teknolojia ya kisasa ya ujenzi wa barabara kwa kuboresha udongo kabla ya kuweka lami juu ijulikanayo kama ‘Ecoroads’ imeonesha matumaini katika miezi sita ya majaribio. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia miundombinu Mhandisi…
Global Education Link yadahili wanafunzi maonyesho ya vyuo vikuu Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu nje ya Nchi Global Education Link (GEL), imeanza kudahili wanafunzi papo hapo kwenye maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisala visiwani Zanzibar. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa GEL, Abdulimalick Mollel,…
Dulla Makabila, Linex wapamba tamasha la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva na Singeli, Sande Mangu almaarufu Linex na Abdallah Ahmed maarufu Dulla Makabila leo Julai 18,2024 wameingiza shangwe kwa wakazi wa Kigoma kwa kutoa burudani kali katika Tamasha la uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu…
NMB yawapiga msasa wanahabari masuala ya bima
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), imeipongeza Benki ya NMB kwa kukuza Uelewa, Ufahamu na Elimu ya Bima kwa Jamii, huku ikivitaka vyombo vya habari nchini kuisaidia Serikali kuibeba kwa uzito mkubwa agenda hiyo ya kimkakati kuipeleka kwa Watanzania….
Viswaswadu kutumika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga kura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAPIGAKURA waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wataweza kutumia simu zao ndogo za mkononi (vitochi au viswaswadu) kuanzisha mchakato wa kuboresha au kuhamisha taarifa zao. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma…
Mabomu baridi 700 kutumika Nachingwea kudhibiti tembo
Na Anangisye Mwateba-Nachingwea Lindi Wizara ya Maliasili na Utalii inatarajia kugawa mabomu baridi yapatayo 700 kwa ajili kukabiliana na wanyama wakali na waharibifu wilayani Nachingwea. Haya yamebainishwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula (Mb) alipokuwa akiongea…





