JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CHAUMA: Wakurugenzi wanatuharibia uchaguzi

Na Ruja Masewa, Jamhuru Media Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kimesema, Wakurugenzi na Watendaji wa Halmashauri nchini, “Wanatuharibia Uchaguzi“. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mwenezi wa CHAUMA Ipyana Samson Njiku (leo) Aprili 7, 2025 mkoani hapa, wakati akitoa tamko…

Rais Mwinyi : Tuzindue mpango wa ujuzi kwa vijana katika uchumi wa buluu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni muhimu kuzinduliwe mpango wa ujuzi wa Vijana wa Jumuiya ya Madola ambao utawapa vijana milioni moja ujuzi katika sekta ya uchumi wa bluu na kijani ifikapo…

Makamu wa Rais ashiriki kumbukizi ya miaka ya 53 ya kifo cha hayati Karume

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Dua na  Kumbukizi ya Miaka 53 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

Israel yaendeleza mashambulizi Ukanda wa Gaza

Mashambulio ya Israel yasababisha mauaji ya watu wawili akiwemo muandishi habari na kuwajeruhi wengine tisa, Ukanda wa Gaza. Israel imeshambulia mahema yanayotumiwa kama makaazi na Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ,nje ya hospitali mbili kubwa kwenye Ukanda huo na kuua…