JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Profesa Lipumba atoa ya moyoni kuhusu bajeti

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar Salaam MWENYEKITI wa Chama Wananchi (CUF), Prof. Ibrahimu Lipumba ameshauri ili kuwatendea haki Watanzania hotuba ya Waziri Mkuu kuhusu bajeti ianze kutolewa ufafanuzi wa kwa nini malengo ya mpango wa tatu wa maendeleo hayajafikiwa licha ya…

Tuzo za Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kufanyika Aprili 13,2025

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu ambayo inalenga kuendelea kuchochea uandishi wa vitabu, usomaji na kukuza matumizi ya lugha ya…

Mvua kubwa yauwa zaidi ya watu 30 Kinshasa

MVUA kubwa iliyonyesha kwenye mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewauwa karibu watu 30 na kusababisha kuharibu mkubwa katika mji huo mkubwa. Watu wengine wamejeruhiwa vibaya na kuhamishiwa kwingine. Waziri wa Afya ya umma wa moa wa…

Serikali yajizatiti kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali na waharibifu

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejizatiti kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali na waharibifu kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa ili kulinda uhai wa wananchi na mali zao. Haya yalisemwa na…

Arusha mwenyeji kongamano kubwa la Usalama Mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI vitisho vya kimtandao vinaendelea kutajwa kuongezeka duniani, Tanzania inaendelea na juhudi za kulinda miundombinu yake ya kidijitali, kwa kuandaa kwa mara nyingine Kongamano kubwa la Usalama Mtandaoni. Kongamano hilo linalotarajiwa kufanyika kwa…