JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mvua kubwa yauwa zaidi ya watu 30 Kinshasa

MVUA kubwa iliyonyesha kwenye mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewauwa karibu watu 30 na kusababisha kuharibu mkubwa katika mji huo mkubwa. Watu wengine wamejeruhiwa vibaya na kuhamishiwa kwingine. Waziri wa Afya ya umma wa moa wa…

Serikali yajizatiti kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali na waharibifu

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejizatiti kukabiliana na changamoto ya wanyama wakali na waharibifu kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo matumizi ya teknolojia za kisasa ili kulinda uhai wa wananchi na mali zao. Haya yalisemwa na…

Arusha mwenyeji kongamano kubwa la Usalama Mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKATI vitisho vya kimtandao vinaendelea kutajwa kuongezeka duniani, Tanzania inaendelea na juhudi za kulinda miundombinu yake ya kidijitali, kwa kuandaa kwa mara nyingine Kongamano kubwa la Usalama Mtandaoni. Kongamano hilo linalotarajiwa kufanyika kwa…

TRA yavipongeza vyombo vya habari kuhamasisha wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imevipongeza vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari nchini, kwa kuhamasisha wananchi hasa wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari,kujua umuhimu wa kudai risti wanaponunua bidhaa na wafanyabishara kutoa risti wanapouza bidhaa….

Dk Carreen Rose Rwakatale ahamasisha ujenzi nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ifakara MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro Dk. Careen-Rose Rwakatale amewataka viongozi wa (CCM) Wilaya mbalimbali mkoani hapa kuhakikisha wanajitoa katika ujenzi wa wa chama hawadhalilishwi kwa kufukuzwa kwenye nyumba za kupanga. Dk….