Author: Jamhuri
Iran yalaumiwa kwa vitisho dhidi ya IAEA
Mataifa ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza yamelaani vikali kile walichokiita vitisho vya Iran dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nishati ya Nyuklia (IAEA), Rafael Grossi. Hatahivyo,Tehran imetupilia mbali lawama hizo, ikisema inahofia usalama wa wakaguzi wa…
Amuua mchungaji kwa kuchoka kuombewa muda mrefu bila kupona, Polisi wamshikilia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara JESHI la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia mkazi wa kijiji cha Lupaso kitongoji cha kadudu Wilaya ya Masasi mkoani humo Victor Fransis (39) kwa tuhuma za mauaji ya mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblise of God…
Aliyekuwa mhasibu kituo cha afya Endagwe Babati afikishwa kizimbani kwa rushwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Shauri hilo la…
Hawa ndio wagombea kiti cha urais ADC Bara na Visiwani
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Alliance Democratic Change (ADC), kimemtangaza Willison Elias kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbali ya Willison, chama hicho pia kimemteua mwanasiasa mkongwe Hamad Rashid Mohamed kuwa mgombea urais…
Fomu ya ubunge ya Ulega na mkewe yazua jambo Pwani
Na Mwandishi wetu Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega na mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wakiwa wamechukua fomu ya kuomba kuwania ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani, wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi…