Author: Jamhuri
Watu nane wafariki, 31 wajeruhiwa katika ajali Mwanga
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Mwanga WATU nane wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani wa Kilimanjaro,…
Tuwaombee wafadhili wanaoendelea kuishika mkono Hospitali ya Haydom – Askofu Malasusa
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Mbulu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa amezindua jengo la Mama na mtoto la Hospitali ya Rufaa ya Kilutheri ya Haydom wilayani Mbulu Mkoani Manyara, lenye thamani ya…
Wahitimu kidato cha nne 2024 kubadilisha machaguo ya tahasusi na kozi kwa njia ya Mlmtandao
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imekamilisha zoezi la awali la kuingiza kwenye kanzidata taarifa zilizo kwenye Fomu za Uchaguzi za wanafunzi kama zilivyojazwa na wanafunzi wakiwa shuleni na kutoa fursa kwa wanafunzi kuweza kufanya mabadiliko ya machaguo/…
Dk Mpango awaagiza wakimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa kifichua ubadhilifu wa fedha za umma bila woga
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa kutekeleza wajibu wao kwa juhudi na nidhamu, huku wakifichua vitendo vyote vya ubadhilifu wa fedha za…
Wataalamu wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi wakutana nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wataalamu wabobezi katika sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabianchi wamekutana jijini, katika kongamano la siku moja kwa lengo la kujadili mchango wao katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kongamano hilo limeandaliwa mahsusi…
TPA yazitaka sekta za usafirishaji na uchukuzi kuwa ’ chanda na pete’ ili kukuza uchumi
Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dar es Salaam SEKTA za Uchukuzi na Usafirishaji zimetakiwa kufanya kazi kwa kushirikiana ili ziweze kuwa na tija katika kuongeza kasi ya ukuaji uchumi hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa na Ofisa Masoko Mkuu wa Mamlaka ya…