JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Uchaguzi, majimbo, TEF 2025

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimeandika makala kuhusu Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Nimewaandika wabunge, mmoja wao akiwa Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga, ambaye jimbo lake lina matatizo mengi kuliko umri…

Miaka mitatu filamu ya ‘Royal Tour’ … Maji, umeme kupandishwa Mlima Kilimanjaro

*Huduma za uokoaji zaimarishwa kukidhi idadi kubwa ya wageni Na MwandishinWetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro (Kinapa) imejiwekea mikakati ya kuboresha huduma kwa wageni wa ndani na nje; JAMHURI linaripoti. Idadi ya watalii wanaopanda mlima huu mrefu…

Wakili :CCM Inawatengenezea Polisi kwenda motoni

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Iringa Wakili Msomi na Mwenyekiti wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Deogratius Mahinyila amedai, Chama cha Mapinduzi (CCM) kinawatengenezea Polisi njia kwenda motoni. Mahinyila alisema hayo mwishoni mwa wiki kwenye ziara ya Chadema…

Wabunge wazidi kuvutiwa zaidi na utendaji kazi mzuri wa Bandari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeendelea kupokea sifa za utendaji mzuri wenye tija kwa taifa kutoka kwa kamati mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Taifa baada ya Kamati ya…

Sekta za uchukuzi, usafirishaji zatakiwa kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es SEKTA ya Uchukuzi na Usafirishaji imetakiwa kushirikiana na kujadiliana mara kwa mara, ili iweze kuongeza tija na ufanisi kwa nchi. Mkutano huo mkubwa wa siku moja uliwakutanisha wadau wa sekta ya uchukuzi kwa njia…