Author: Jamhuri
Rais Dk Samia ashiriki Baraza la Eid El – Fitr Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius…
Ni wakati sasa wa dunia kutambua Afrika inaweza kutoa kampuni kubwa za kimataifa – Mo Dewji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WATANZANIA wataendelea kufurahia neema ya uwekezaji ya mfanyabiashara Mohamed Dewji (MO) anayemiliki Kampuni ya Mohamed Enterprises Limited (MeTL) ambaye sasa ameamua kuwekeza kwa nguvu zaidi katika maeneo manne anayoamini yana matokeo chanya kwa…
Dereva aliyesababisha kifo cha Mkuu wa Polisi Chanika akamatwa Mbeya
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia, Dar es salaam Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Dereva Elia Asule Mbugi maarufu ka jina la Dogobata (25),mkazi za Segerea, aliyetoroka baada ya kusababisha kifo cha SP Awadh Ramadhani aliyekuwa Mkuu wa Polisi Chanika Machi 17,2025 na…
Majaliwa aridhishwa na maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa ameridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa katika uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha. Akikagua katika ziara yake ya siku moja maendeleo ya maandalizi…
Msigwa airarua CHADEMA, “aitaka Reform kwao”
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Mara baada ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewararua akidai, kabla ya kuifundisha CCM reforms wafanye kwanza reform ndani…