JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Dk Samia : Hali ya uchumi wa taifa imezidi kuimarika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa hali ya uchumi wa nchi imeendelea kuimarika, ambapo kwa mwaka 2025 kasi ya ukuaji wa uchumi inakadiriwa kufikia asilimia sita. Aidha, pato ghafi la Taifa limeongezeka…

Mahakama ya Afrika yafuta hukumu ya kunyongwa kwa Tembo Hussein, yatangaza adhabu ya kifo si ya kibinadamu

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, iliyoko Arusha, imetoa hukumu ya kihistoria katika kesi ya Tembo Hussein dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikibatilisha hukumu ya kifo na kutangaza kuwa adhabu hiyo…

Serikali yazindua mradi wa umwagiliaji wa bilioni 33.8 Iringa, wakulima 8600 kunufaika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imezindua mradi wa ujenzi na ukarabati wa skimu za umwagiliaji mkoani Iringa, utakaogharimu sh bilioni 33.8 ukilenga kuongeza tija ya kilimo kwa wakulima wa vijiji vya Kata…

Waganga wa jadi waonywa kuelekea Uchaguzi Mkuu

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WAGANGA wa Jadi Mkoani Tabora wametakiwa kujiepusha na vitendo vya aina yoyote vinavyoweza kuchochea uvunjifu wa amani miongoni mwa jamii katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Onyo hilo…

Dk Kimambo: Maafisa ustawi wa jamii Muhimbili weledi, upendo na moyo wa huruma kwa wagonjwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili,(MNH) Dkt. Delilah Kimambo, amewataka watumishi wa ustawi wa jamii hospitalini hapo kuzingatia weledi na kuonyesha moyo wa huruma na upendo wakati wa kuwahudumia wateja wanaofika kupatiwa…