JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Akiba Commercial Bank Plc yaweka tabasamu Kituo cha Kulea Watoto- Chakuwama Sinza

Na Magrethy Katengu-Jamhuri MediaDar es Salaam Akiba Commercial Bank Plc imeguswa kuendelea kuunga Mkono jamii kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika kituo cha kuelelea Watoto Yatima kilichopo Sinza Dar es salaam. Amebainisha hayo Machi 28,2025 Dar es salaam Bi…

Mara waridhishwa utekelezaji miradi ya REA

📌 Wamshukuru Rais Samia kwa kupunguza gharama za umeme 📌 Elimu kuhusu matumizi bora ya nishati yatolewa 📌 Watakiwa kuchangamkia fursa ya kuunganisha umeme Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini…

Balozi Meja Jenerali Ibuge afunga za Uongozi Waandamizi wa Amani na Makamanda Wanawake JWTZ Dar

Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge amefunga kozi ya Kuwaendeleza Makamanda Wanawake wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kozi ya Uongozi kwa viongozi waandamizi wa…

Serikali: Faida itokanayo na uwekezaji ifikie zaidi ya asilimia 10

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo serikali inaumiliki wa hisa chache kuongezeka kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya 10 mwaka ujao wa fedha. Dhamira hiyo ilielezwa…

MOI yaandika historia kwa kuanza kufanya upasuaji wa ubongo kwa kutumia akili unde

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es salaam Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia wataalam kufanya upasuaji wa uvimbe kwenye…

Taifa limempoteza msomi mmoja, Balozi Juma Volter Mwapachu

Taifa limepoteza mmoja wa wasomi, wanadiplomasia, na wanasiasa waliobeba mzigo wa matumaini ya Afrika Mashariki kwa mabega mawili bila kulalamika. Balozi Juma Volter Mwapachu, aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa,…