Author: Jamhuri
Wafanyabiashara ndogondogo 137 Soko la Kilombero waondokana na adha ya kuuza bidhaa zao chini
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha ZAIDI ya Wafanyabiashara ndogo ndogo 137 wanaouza mbogamboga na matunda katika soko la Kilombero jijini Arusha wameondokana na adha ya kuuza bidhaa zao chini pamoja na kunyeshewa na mvua baada ya kuboreshewa mazingira kwa kujengewa…
UCSAF kufikisha huduma za mawasiliano kwenye vijiji 5,102
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imejizatiti kufikisha huduma za mawasiliano kwenye kata 1,974 na vijiji 5,102 nchini ambapo hadi sasa, minara 2,152 ya mawasiliano imejengwa, ambayo imewanufaisha zaidi ya wakazi milioni 29. Hayo yameelezwa…
EACOP yapata ufadhili wakati ujenzi ukifikia zaidi ya asilimia 50
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umefikia hatua muhimu kwa kufanikisha upatikanaji wa sehemu ya kwanza ya ufadhili wa nje, hatua inayoweka msingi madhubuti kwa uwekezaji mkubwa zaidi wa…
SimBanking kugawa milioni 240, magari matano kwa wateja wake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam IKIZINDUA msimu wa tano wa kampeni ya yake ya Benki ni SimBaking, Benki ya CRDB imetangaza kutenga zawadi kiasi cha shilingi milioni 240 pamoja na magari matano. Akizindua kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Wateja…
CRDB yakabidhi madarasa kuchochea maendeleo ya sekta ya elimu Muheza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga KATIKA muendelezo wa kusheherekea miaka ya 30 ya uwepo wa Benki ya CRDB ambao umeleta mabadiliko chanya katika jamii, Benki ya CRDB imekabidhi madarasa mawili pamoja na vyoo sita katika Shule ya Msingi Misufini iliyopo…
Wawekezaji wa viwanda wahimizwa kuzalisha bidhaa bora zitakazoongeza ushindani
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SERIKALI itaendelea kuhimiza wawekezaji wa viwanda kuzalisha bidhaa bora zitakazoongeza ushindani wa Tanzania katika soko la Afrika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo alieleza hayo katika ziara yake akiwa ameambatana…