Author: Jamhuri
CRDB yakabidhi madarasa kuchochea maendeleo ya sekta ya elimu Muheza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga KATIKA muendelezo wa kusheherekea miaka ya 30 ya uwepo wa Benki ya CRDB ambao umeleta mabadiliko chanya katika jamii, Benki ya CRDB imekabidhi madarasa mawili pamoja na vyoo sita katika Shule ya Msingi Misufini iliyopo…
Wawekezaji wa viwanda wahimizwa kuzalisha bidhaa bora zitakazoongeza ushindani
Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SERIKALI itaendelea kuhimiza wawekezaji wa viwanda kuzalisha bidhaa bora zitakazoongeza ushindani wa Tanzania katika soko la Afrika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo alieleza hayo katika ziara yake akiwa ameambatana…
REA yapongezwa kwa uhamasishaji wa matumizi ya nishati bora
📌DC Chikoka asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Juma Chikoka amewapongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuendelea kuhamasisha matumizi bora ya nishati kwa Watanzania wote. Mhe. Chikoka amebainisha hayo leo Machi 27, 2025…
Wanawake Monduli waathirika wakubwa mabadiliko tabia nchi ,walia wanaume kuhama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Monduli Wanawake wa Jamii ya kifugaji ya kimasai wilayani Monduli mkoa Arusha,wametajwa kuwa waathirika wakubwa ya mabadiliko ya tabia nchi, hali ambayo imefanya maisha yao kuwa duni huku wakieleza adha ya waume zao kuhama majumbani kwenda…
Kibaha yazindua kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imezindua rasmi kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa ambayo imeambatana na utoaji wa chanjo ikiwa ni mikakati muhimu ya kulinda afya za binadamu na wanyama. Uzinduzi…