Author: Jamhuri
Kibaha yazindua kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imezindua rasmi kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa ambayo imeambatana na utoaji wa chanjo ikiwa ni mikakati muhimu ya kulinda afya za binadamu na wanyama. Uzinduzi…
Marufuku wakopeshaji, kudhalilisha wakopaji
Na Boniphace Mwabukusi, Jamhuri Media, Dar es Salaam Si halali kwa kampuni ya kukopesha au benki kumkejeli au kumtangaza vibaya mteja aliyeshindwa kulipa rejesho kwa ukamilifu. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, mteja ana haki ya faragha na heshima yake…
Kwa nini Watanzania hawana furaha?
Orodha ya kila mwaka ya viwango vya furaha inaendelea kuongozwa na nchi za Nordic, zinazozijumuisha Denmark, Finland, Iceland, Norway na Sweden, huku Finland ikiendelea kushikilia nafasi ya kwanza miongoni mwao tangu mwaka 2018. Denmark ni ya pili, Iceland (3), Sweden…
Moto mkubwa wa msituni wauwa watu 24 Korea Kusini
Moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki mwa Korea Kusini umesababisha vifo vya watu 24. Maafisa wamesema zaidi ya watu 27,000 wamelazimika kuhamishwa. Rais wa mpito wa nchi hiyo, Han Duck-soo, amesema…
Naibu Waziri Mwinyijuma akabidhi hati 33 za mashamba kwa wananchi Kwabada
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Jamhuri Media Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na…