Author: Jamhuri
Serikali : Tanzania inaongoza kwa simba, nyati, chui Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imesema Tanzania inaongoza kwa idadi ya simba, chui na nyati Afrika. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula alisema hayo bungeni Dodoma jana alipoeleza mafanikio ya sekta ya utalii wakati akichangia taarifa ya…
Utekelezaji malengo wachangia uchumi Zanzibar kuimarika
RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Zanzibar imeimarika kutokana na utekelezaji wa malengo ya Serikali ya Awamu ya Nane ya kuwaunganisha wananchi, kuleta ustawi wao na kukuza uchumi. Dk Mwinyi alisema hayo jana katika hotuba yake kwa Baraza la…
Museveni kuwania tena kiti cha urais
Rais wa Uganda Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine wa uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao ili kuongeza utawala wake wa takriban miongo minne, kulingana na afisa mkuu kutoka chama tawala. Ingawa alitarajiwa kugombea tena wadhifa huo, ni uthibitisho…
Wasira : Wanaotaka kugombea ubunge wapime kina cha maji kabla kuingia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema uchaguzi ukuu sio ajali hivyo wabunge na madiwani wote wanajua kwamba kila baada ya miaka mitano kuna uchaguzi hivyo wale waliokuwa wanajifungia vioo kwenyemagari wajue…
Trump: Israel na Iran zaafikiana kusitisha mapigano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Israel na Iran wamekubaliana kusitisha mapigano, hatua ambayo itaanza kutekelezwa ndani ya saa 24 zijazo na ambayo italimaliza mzozo huu uliodumu kwa siku 12. Rais wa Marekani Donald Trump amesema mapema siku ya Jumanne…
Mradi wa Umeme wa Nyerere unapunguza Gesijoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere umetajwa kuwa na uwezo wa kupunguza tani milioni 3 za gesijoto kwa mwaka, kati ya tani 138 hadi 155 zinazoweza kupunguzwa kupitia shughuli mbalimbali nchini kwa mwaka. Waziri…