Author: Jamhuri
Usafiri wa umeme waanza kupaa katika sekta ya usafiri wa mtandaoni Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Pikipiki na bajaji zimeendelea kuwa uti wa mgongo wa mifumo ya usafiri katika mataifa mengi ya Afrika Mashariki, zikihudumu kama teksi, vyombo vya usafirishaji wa mizigo, na usafiri wa watu binafsi. Sasa, mabadiliko…
Dk Mpango mgeni rasmi uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa Aprili 2
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa utakaofanyika Aprili 2, 2025 viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha,…
Radi yaua mtoto miaka 9 wakati wakiwinda ndege
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Kakoyoyo iliyopo wilayani Bukombe Mkoa wa Geita, Ibrahim Masumbuko (9) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Adamu Maro, amethibitisha…
DCEA yanasa kinara wa mirungi, yateketeza ekari 285. 5 Same
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari…