JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DCEA yanasa kinara wa mirungi, yateketeza ekari 285. 5 Same

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari…

Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais Samia kwa Rais wa Algeria

Algiers, Machi 26, 2025 – Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Mhe. Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Wafanyabiashara Songea waiomba CRDB kutoa elimu ya mikopo ya kilimo

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAFANYABIASHARA wilayani Songea mkoani Ruvuma wameiomba Benki ya CRDB kutoa elimu zaidi kuhusu mkopo wa kilimo ili waweze kufaidika na huduma hiyo kwa ufanisi zaidi na kuongeza uzalishaji wenye tija na si vinginevyo.  Ombi hili…

Uchaguzi Mkuu: No Road, No Silaa

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Wiki iliyopita nimezungumzia suala la ukomo wa wabunge wa viti maalum na nikaisihi serikali iangalie uwezekano wa kutanua wigo ukomo uende na kwenye viti vya majimbo….

Urusi, Ukraine zakubaliana kusitisha mashambulizi baharini

Urusi na Ukraine zimekubaliana kusitisha mapigano katika Bahari Nyeusi katika mikataba tofauti na Marekani, baada ya siku tatu za mazungumzo ya amani nchini Saudi Arabia. Serikali ya Washington ilisema pande zote zitaendelea kufanya kazi kuelekea “amani ya kudumu ” katika…

Mchengerwa : Daraja la uhoro ni mkombozi kwa wananchi Rufiji

OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Daraja la Muhoro utaleta ukombozi kwa wananchi wa Kata ya Muhoro, ambao kwa muda mrefu wamekumbwa na changamoto za usafiri na hata kupoteza maisha wanapovuka Mto Rufiji….