JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Naibu Kamishna Mkuu TRA afungua mafunzo ya IDRAS kwa walipa kodi Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato(TRA) Bw. Mcha Hassan Mcha Tarehe 29 Januari 2026 amezindua rasmi mafunzo ya Mfumo Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) kwa walipa kodi Mkoa wa Dodoma, ikiwa…

Tanzania, Brazil zaahidi kuendelea kushirikiana

Na Mwandishi Maalum Tanzania na Brazil zimeahidi kuendelea kushirikiana katika sekta za kimkakati zenye maslahi mapana kwa mataifa haya mawili ikiwemo Afya, Kilimo, biashara, uwekezaji, elimu na ulinzi na usalama. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa…

Waziri Mwigulu : Maeneo ya wazi yaachwe kwa ajili ya wanamichezo

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yaliyopo katika mitaa na kata mbalimbali hayauzwi, bali yaachwe kwa ajili ya mazoezi na shughuli za michezo kwa vijana. Ameyasema hayo bungeni Dodoma, akijibu swali la Mbunge…

Dk Nchimbi akagua ukarabati wa ofisi ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 29 Januari 2026, ametembelea na kukagua ukarabati wa Jengo la Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mtaa wa Luthuli, Posta Jijini Dar es Salaam. Makamu…

Waziri Dk Gwajima atambuliwa mwanamke kinara wa maendeleo jumuishi barani Afrika

Na WMJJWM – Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametambuliwa kuwa mmoja wa viongozi wanawake mashuhuri kutoka Tanzania kati Wanawake 100 Wanaoheshimiwa wa Asili ya Kiafrika waliotambuliwa kwa mwaka 2026. Tuzo…