JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa aagiza Taasisi za Umma kujiunga na Mfumo wa GovESB kabla ya Julai 30

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza Taasisi zote za Serikali ambazo bado hazijajiunga na Mfumo wa Kielektroni wa Mawasiliano baina ya Mifumo ya Serikali (Government Enterprise Service Bus – GovESB), kuhakikisha zinafanya hivyo ifikapo Julai 30, 2025. Majaliwa…

Tumeendelea kuwekeza kimkakati katika sekta ya kilimo – Dk Biteko

📌 Wataalamu kutoka Asia na Afrika wakutana kutafuta suhulu za kilimo, lishe na afya 📌 WHO yasema watoto na wanawake waendelea kukumbwa na ukosefu wa virutubisho 📌 Serikali kuendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya kilimo, lishe na afya 📌…

Tume ya TEHAMA, VETA sasa kushirikiana katika vyuo saba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya TEHAMA inaendelea kupanua wigo wa kukuza ubunifu na kuendeleza sekta ya TEHAMA nchini, baada ya kuingia makubaliano na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ya kuendeleza teknolojia katika…

Bangi, skanka na mdpv mtegoni 2024; lukuvi asema mavazi , nyimbo za kiharamu kudhibitiwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema imepiga hatua katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kwa mwaka 2024, huku ikitoa onyo kali kwa wasanii wanaotumia majukwaa yao kuhamasisha matumizi ya mihadarati kupitia maudhui ya nyimbo na mitindo ya…

Mpango wa kijiolojia Afrika na Ulaya kuzinduliwa Juni 24 jijini Dar es Salaam

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mpango wa jiolojia PanAfGeo unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya, unatarajiwa kuzinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, Tanzania Juni 24 mwaka huu 2025. Tukio hili muhimu linafuatia miaka minane ya utekelezaji na awamu mbili…

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini ahimiza ubunifu, weledi kwa watumishi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Ramadhani Lwamo, na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala, Nsajigwa Kabigi, wametembelea banda la Tume ya Madini katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayohitimishwa leo katika viwanja vya…