JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ateta na wanasheria na mawakili Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Arusha .MWANASHERIA Mkuu wa serikali Hamza Johari amewataka Wanasheria na Mawakili wa serikali kuhakikisha wanatoa huduma zao kwa wakati na kuzingatia weledi na ubora ili wateja waweze kupata huduma kwa wakati. Ameyasema hayo leo jijini…

Biteko avutiwa utekelezaji wa ‘Local Content’ EACOP

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa Serikali inafurahishwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)…

Mambo yaiva, maandalizi uzinduzi wa Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa asilimia 96

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mkoani Pwani yamefikia asilimia ili kufanikisha kufanya tukio hili kuwa kubwa la kihistoria. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, tarehe…

Jopo la wasuluhishi laundwa kumaliza mzozo wa Kongo

Mkutano wa kilele uliowaleta pamoja wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, na Jumuiya ya Afrika Mashariki, umeunda jopo la wasuluhishi katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kwa mujibu wa tangazo…

Maambukizi a kifua kikuu yashuka kwa asilimia 40

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha lengo la kutokomeza ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Kifua…