Author: Jamhuri
Marekani, Urusi zakabiria muafaka kuhusu Ukraine
Maafisa wa Marekani na Urusi wamekamilisha mazungumzo ya siku moja jana Jumatatu, wakiangazia pendekezo la mapatano ya kusitisha vita baharini kati ya Kyiv na Moscow, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia zinazonuwiwa kuchangia mazungumzo mapana ya amani. Lakini hata…
Waandishi kadhaa wakamatwa Uturuki
Vyombo vya usalama Uturuki vimewatia nguvuni waandishi kadhaa waliokuwa wanaripoti kuhusu maandamano ya kupinga kukamatwa kwa meya wa Istanbul. Mamlaka ya Uturuki zimewakamata waandishi kadhaa wa habari siku ya Jumatatu kama sehemu ya shinikizo dhidi ya maandamano yaliyoibuka baada ya…
Mgogoro Mashariki mwa DRC wazidi kuibua wasiwasi wa kikanda
Hali ya wasiwasi inazidi kuikumba Kongo Mashariki katikati mwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 huku nchi jirani ya Burundi ikielemewa na mzingo wa wakimbizi, na Angola ikijitoa kuwa msuluhishi. Mgogoro unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya…
Jimbo la Ukonga lapendekezwa kugawanywa na kuunda jimbo jipya la Kivule
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikiongozwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila leo Machi 24, 2024 imepokea na kuridhia mapendekezo ya Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya…
Wadau wa korosho kutoka nchi 9 wapatiwa mafunzo ya kuongeza thamani zao hilo
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia,Dar es Salaam ZAO la korosho laendelea kutafutiwa ufumbuzi wa changamoto linaloikabili katika mnyororo mzima wa thamani wa kilimo, mauzo na masoko ili kusaidia kilimo cha zao hilo kinakuwa na tija kwa wakulima kuanzia wadogo,wakati na wakubwa….
EWURA, ERB kushirikiana kuboresha huduma za nishati
ZAMBIA. Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Bodi ya Udhibiti wa Nishati Zambia (ERB) wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kimiundombinu ili kuboresha huduma za nishati katika nchi zao. Wakati…