JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wanachi Chamwino Dodoma kunufaika na mradi wa maji miji 28

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ujenzi wa Mradi wa Miji 28 Chamwino, Mkoa wa Dodoma unaendelea ambapo visima 8 vitakavyopeleka maji kwenye tanki la kuvunia maji vimekamilika. Kazi inayoendelea kwa sasa ni ujenzi wa matanki mawili ya lita laki mbili…

Mkurugenzi Halmashauri Muheza atoa wito kwa wananchi Kwabada kulipia hati za ardhi

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Muhez Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mheza, mkoani Tanga Dkt Jumaah Mhina, ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Kwabada walioendeleza mashamba Katika shamba la Lewa na Saguras ambao bado hawajalipia hati zao za ardhi…

Rais Samia ashiriki mkutano wa pamoja SADC na EAC uliofanyika kwa njia ya mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya…

 Samia atamaliza changamoto za kodi – Majaliwa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumaliza changamoto zinazohusu masuala ya kodi. Majaliwa amehimiza jumuiya za wafanyabiashara ziendelee kuwa na imani na Rais Samia. Alisema hayo alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na mwakilishi wa wafanyabiashara wa Halmashauri…

Mufti: Tuepuke fitna, uzushi Uchaguzi Mkuu

Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abbubakar Zubery amehimiza wananchi wajiepushe na uzushi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Amewataka kutumia hekima na busara wanapopokea taarifa yoyote ili kuepuka kupotosha jamii. Mufti alisema hayo wakati akipokea futari iliyotolewa na Ofisi ya…