Author: Jamhuri
CHADEMA wanyimwa mkutano Kyela kisa vurugu
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Kyela Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kyela, kimenyimwa mkutano wa No Reform, No election kisa kikiwa ni vurugu za viongozi miongoni mwao . Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya Mwenyekiti wa…
Balile arejesha fomu kutetea nafasi yake TEF, awashukuru wahariri
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema amefurahishwa na wahariri wenzake kumwamini baada ya kutokuwepo kwa mwanachama mwingine aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo. Akizungumza na Jamhuri Digital baada…
Wasira : CCM kwa nafasi ya urais tumeshinda mtihani
*Ni baada ya Mkutano Mkuu Maalumu kumpitisha Dk. Samia kupeperusha bendera *Afichua siri waliokuwa na uchu wa urais walivyokuwa na matajiri wao nyuma *Atolea uvivu wanaonyemelea ubunge kuanza kujipitisha kwa wajumbe, kutoa fedha *Asema taarifa zao anazo, kuchukuliwa hatua kali…
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu yawaongezea uwezo mawakili wa Serikali
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaongoza Mafunzo ya siku 5 ya Mawakili wa Serikali jijini Arusha kwa lengo la kuwajengea uwezo, ubobevu na umahiri wa utekelezaji wa majukumu yao Mawakili wa Serikali. Mafunzo hayo ya pili ya Mwaka mahsusi…
NEMC yasajili miradi 8,058 ya mazingira ikiwemo ya tathmini ya athari za mazingira
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),limesajili jumla ya miradi 8,058 ya mazingira ambapo kati ya hiyo, 5,784 ni ya Tathmini ya Athari kwa Mazingira (TAM) na 2,274 ni ya Ukaguzi wa…
Wasira, askofu Bagonza wateta Karagwe
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera. Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana…