JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NIRC na Kamati ya Bunge watembelea mradi wa umwagiliaji shamba la mbegu Ngaramtoni

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya…

Wizara ya Nishati yataja vipaumbele vya bajeti ya mwaka 2025/ 2026

📌 Rukwa, Kagera, Lindi. Mtwara kuunganishwa na gridi ya Taifa. 📌 Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kuendelea kuhamasishwa 📌 Serikali kuendelea kuimarisha utendaji wa Taasisi, Mashirika chini ya Wizara ya Nishati, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….

M23 yaendelea kuwepo Walikale licha ya kutangaza kujiondoa

Kundi la waasi wa M23 limeendelea kushikilia mji muhimu wa Walikale, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, licha ya awali kutangaza mpango wa kuondoka ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani. Kundi linaloungwa mkono na Rwanda la M23 lilitangaza…

Mashambulizi ya RSF yauwa watu watatu Omdurman

Raia watatu wameuawa Jumapili katika shambulizi la makombora lililofanywa na kikosi cha RSF katika eneo la Omdurman karibu na Khartoum, siku mbili tu baada ya jeshi la Sudan kutwaa tena ikulu ya rais katika mji mkuu huo. Raia watatu wameuawa…

Mahakama Korea Kusini yamrejesha madarakani Han Duck-soo

Mahakama ya Katiba nchini Korea Kusini Jumatatu imetupilia mbali uamuzi wa Bunge wa kumuondoa Waziri Mkuu Han Duck-soo, na kumrudisha rasmi katika wadhifa wake kama kaimu rais. Han alishika nafasi hiyo baada ya Rais Yoon Suk Yeol kuondolewa madarakani kutokana…

Dk Samia ametenda maajabu sekta ya nishati miaka minne ya uongozi – Dk Biteko

📌Mashine ya 9 yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 – JNHPP 📌 Aitaka Jumuiya ya Wazazi ieleze Watanzania mafanikio ya Serikali 📌 Asema kuongezeka kwa mahitaji ya umeme nchini kunachochea ukuaji wa viwanda 📌 Atoa wito kwa Watanzania kuzingatia matumizi bora ya…