Author: Jamhuri
Nchimbi: Maoni yoyote kuhusu amani ya Tanzania hayatapuuzwa
*Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila *Awapongeza wanawake kusimamia amani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa maoni yoyote yanayolenga kuhakikisha Tanzania inaendelea kudumisha amani na utulivu, hayajawahi kupuuzwa na…
Bajeti 2025/2026 yapita kwa kishindo , hakuna kura ya hapana
KATIKA hali isiyo ya kawaida wabunge wa upinzani wamepiga kura ya ndiyo kwa bajeti Kuu ya Serikali hali iliyoibua shangwe kwa wabunge wa Chama cha Mapinzi kwa kuwapigia makofi yanayoashiria furaha yao kwa kitendo hicho. Hali hiyo imejiri jana Bungeni…
Global Education Link yasaini makubaliano na Chuo Kikuu Mzumbe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO Kikuu cha Mzumbe cha mkoani Morogoro na Wakala wa Elimu Nje ya Nchi (Global Education Link), wamesaini Mkataba wa Ushirikiano (MoU) kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa fursa za elimu nje ya…
RC Kilimanjaro azitaka NGOs kuwajibika
Na WMJJWM- Kilimanjaro Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amewataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali mkoani humo kuwajibika kwa jamii kwa kuhakikisha mipango yao inasaidia kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Mhe. Babu ameyasema hayo Juni 24, 2025 wakati akifungua…
Sekta ya nishati yachangia asilimia 14.4 ya pato taifa
๐Kapinga ampongeza Rais, Dkt. Samia kwa uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Nishati ๐ Aeleza mafanikio yaliyofikiwa katika Umeme, Gesi Asilia na Mafuta ๐ Asisitiza kuwa Nishati ni moyo wa uchumi Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Sekta ya Nishati…