JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

INEC yaongeza siku mbili za uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam ambapo sasa zoezi hilo litamalizika Machi 25,…

Waziri Masauni ahimiza matumizi ya nishati safi

……Awaandalia futari wadau wa mazingira Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Masauni amewahimiza watanzania kutumia nishati safi kupikia kama mkakati bora wa kupambana na mabadiliko ya tabia nchi, uhalibifu wa mazingira…

Wizara ya Maji na DAWASA wakabidhi JKCI hundi ya milioni 20

Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Maji imeikabidhi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), hundi la shilingi milioni 20 kwaajili ya matibabu kwa watoto wenye changamoto mbalimbali za magonjwa ya moyo. Hundi ya fedha hizo ilikabidhiwa mwishoni mwa wiki na…

TMA, JNIA yatoa elimu kusherehekea siku ya hali ya hewa duniani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa…

Baraza la saba la wafanyakazi Wizara ya Nishati lakutana Dodoma

📌 Dkt. Kazungu asema Wizara itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati. 📌 Baraza lapitisha rasimu ya bajeti ya 2025/2026 . 📌 Hoja za TUGHE zajadiliwa kwa kina na kupatiwa ufumbuzi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo…